; Tanzania Tourist Board | The Official Website of Tanzania Tourist Board
 
Badilisha Lugha English Kiswahili

Karibu Tanzania

Karibu katika tovuti ya Bodi ya Utalii Tanzania yenye kila kitu unachojitaji kujua kuhusu nchi yetu nzuri iliyopo mahali rahisi na pazuri.

Kwa kujifunza zaidi kuhusu mambo makubwa yanayovutia katika hifadhi za Taifa na Mbuga za wanyama, kuona zaidi kuhusu utamaduni wa aina mbalimbali unaopatikana katika nchi yetu, tovuti rasmi ya Bodi ya utalii inatoa taarifa zinazokwenda na wakati na za uhakika kwa watalii wanaopenda kutalii Tanzania

Utaunganishwa na maeneo maalum, ushauri wa jinsi ya kusafiri na usuli wa kihistoria na kiutamaduni kuhusu nchi yetu yenye uanuwai.

Unatafuta eneo zuri la kuogelea kupiga mbizi katika fukwe za Kiswahili? Unapenda kujua zaidi kuhusu safari ndefu kupitia safu za milima ya Ngorongoro? Umekuja mahali mwafaka kama tunavyosema kwa Kiswahili, karibu sana na furahia!

Ukurasa huu unafanyiwa kazi

Mawasiliano

Contacting us by post Bodi ya Utalii
Jengo la IPS,Gorofa ya tatu
P.O.Box 2485
Dar-es-Salaam
Tanzania.
Contacting us by email info@tanzaniatourism.go.tz
Contacting us by telephone
General (+255) 022 2111244/5
Mkurugenzi Mwendeshaji 2110908
Masoko 2111345
Huduma za Kitalii 2128472
Utafiti 2111514
Contacting us by fax (255) 022 2116420

Je ulikuwa wajua?

Kuwa Dar-es-salaam ilikuwa ni kijiji cha uvuvi kilichojulikana kama ‘Mzizima’?