safari en tanzanie
 
 

Kuunganishwa

Mwongozo a Utalii

Magazeti

Chunguza kwa ramani

Tanzania Leo

Taarifa za VIZA

Misheni za kidiplomasia

Usafiri wa Ndege

Vivuko

Habari na & Dokeza

FAQ

 

 

Karibu katika nchi ya kuvutia TANZANIA


Karibu

Karibu katika tovuti ya Bodi ya Utalii Tanzania yenye kila kitu unachojitaji kujua kuhusu nchi yetu nzuri iliyopo mahali rahisi na pazuri.

Kwa kujifunza zaidi kuhusu mambo makubwa yanayovutia katika hifadhi za Taifa na Mbuga za wanyama, kuona zaidi kuhusu utamaduni wa aina mbalimbali unaopatikana katika nchi yetu, tovuti rasmi ya Bodi ya utalii inatoa taarifa zinazokwenda na wakati na za uhakika kwa watalii wanaopenda kutalii Tanzania

Utaunganishwa na maeneo maalum, ushauri wa jinsi ya kusafiri na usuli wa kihistoria na kiutamaduni kuhusu nchi yetu yenye uanuwai.

Unatafuta eneo zuri la kuogelea kupiga mbizi katika fukwe za Kiswahili? Unapenda kujua zaidi kuhusu safari ndefu kupitia safu za milima ya Ngorongoro? Umekuja mahali mwafaka kama tunavyosema kwa Kiswahili, karibu sana na furahia!

Samahani ukurasa huu bado unafanyiwa kazi!

Taarifa za Mawasiliano
Bodi ya Utalii Tanzania
Jengo la IPS
S.L.P Box 2485
Dar-es-Salaam
Tanzania.
info@tanzaniatouristboard.go.tz
(+255) 022 2111244/5
(+255) 022 2116420
 
Ulijua?
Neno Tanzania limetokana na nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar Ambazo kabla ya mwaka 1964 zilikuwa tofauti. "..



   
Wasiliana nasi Ramani ya mahali