Rubondo
Kitulo
Hifadhi hii iko kwenye uwanda wa Kitulo na ni sehemu ya Nyanda za Juu Kusini, katika Mkoa wa Mbeya. Ikijulikana kwa wenyeji kama “Bustani la Mungu“, Kitulo ni maarufu kwa aina nyingi ya maua pori, yakiwemo yanayojulikana kama “balsams, belflowers, honey-peas, irises na lilies”
Kisiwa cha Rubondo
Hifadhi hii iliyoko kusini magharibi mwa Ziwa Victoria, inajumuisha kisiwa chenyewe cha Rubondo na visiwa vingine vidogo vidogo vinavyokizun-guka. Ni maarufu sana kwa aina mbali mbali ya vipepeo na ndege pamoja na paa maji anayejulikana kama “Sitatunga”. Mipango ya kutembelea Rubondo kwa ajili ya shughuli za “uvuvi wa kitalii” inaweza kufanyika na hoteli za kitalii Jijini Mwanza.



Je ulikuwa wajua?


