; Tarangire » Tanzania Tourist Board
 
Badilisha Lugha English Kiswahili

Tarangire

Maelezo kuhusu vivutio vya Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire

Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iko kusini magharibi kutoka Arusha mjini kwenye barabara kuu ya kuelekea Dodoma na inapakana na mapori mawili tengevu ya wanyama. Umaarufu wake ni kuwa na idadi kubwa ya tembo kuliko hitadhi nyingine kwa kila kilometa ya mraba. Sehemu hii inatembelewa sana na wagenii kabla ya kuanza safari ndefu kuelekea Ngorongoro na Serengeti.

Wakati wa kiangazi makundi ya wanyama, wakubwa na wadogo, huhamia kwenye malisho ya Tarangire na kujipumzisha chini ya migunga na kuizunguka zunguka mibuyu iliyotapakaa kila mahali.

Mawasiliano

Contacting us by post Bodi ya Utalii
Jengo la IPS,Gorofa ya tatu
P.O.Box 2485
Dar-es-Salaam
Tanzania.
Contacting us by email info@tanzaniatourism.go.tz
Contacting us by telephone
General (+255) 022 2111244/5
Mkurugenzi Mwendeshaji 2110908
Masoko 2111345
Huduma za Kitalii 2128472
Utafiti 2111514
Contacting us by fax (255) 022 2116420

Je ulikuwa wajua?

Kuwa Dar-es-salaam ilikuwa ni kijiji cha uvuvi kilichojulikana kama ‘Mzizima’?