; Pangani » Tanzania Tourist Board
 
Badilisha Lugha English Kiswahili

Pangani

Mji wa Pangani ulioko Mkoani Tanga katika ufukwe wa Bahari ya Hindi ni maarufu kwa historia yake.  Ulikuwa ni kiungo kikuu cha biashara kati ya pwani na Bara la Afrika. Uthibisho huu uko kwenye magofu ya Boma na gereza ya wakati wa utawala wa Wajerumani pamoja na majengo mengine ya kitamaduni, ambayo bado yamesimama hadi leo.

Kivutio kingine ni mandhari ya mji huu ambapo unatenganishwa kati kati na Mto Pangani unaomwaga maji yake baharini. Ili kutoka sehemu ya kaskazini kwenda kusini inabidi kutumia pantoni.  Sehemu zote mbili za mji huu ambao ni tulivu zimepambwa na mashamba ya minazi na mkonge.

 

Mawasiliano

Contacting us by post Bodi ya Utalii
Jengo la IPS,Gorofa ya tatu
P.O.Box 2485
Dar-es-Salaam
Tanzania.
Contacting us by email info@tanzaniatourism.go.tz
Contacting us by telephone
General (+255) 022 2111244/5
Mkurugenzi Mwendeshaji 2110908
Masoko 2111345
Huduma za Kitalii 2128472
Utafiti 2111514
Contacting us by fax (255) 022 2116420

Je ulikuwa wajua?

Kuwa Dar-es-salaam ilikuwa ni kijiji cha uvuvi kilichojulikana kama ‘Mzizima’?