; TAARIFA KWA UMMA » Tanzania Tourist Board
 
Language English Kiswahili

TAARIFA KWA UMMA

 

BODI YA UTALII TANZANIA


Maadhimisho ya sikukuu ya Utalii Duniani Kitaifa Mwaka huu yatafanyika Mkoani Mwanza kuanzia tarehe 22-29/9/2013 Septemba.  Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “Utalii na Maji – Kulinda Hatma yetu (Tourism and Water  – Protecting Our Common Future) Shughuli zote za maadhimisho hayo zitafanyika katika uwanja wa Nyamagana.

 

Pamoja na shughuli mbalimbali zitakazofanyika  kutakuwepo pia  na maonesho yakiwemo ya utalii, malikale, misitu na masuala ya uhifadhi kwa ujumla, na teknlojia mbalimbali. Aidha kutakuwepo pia safari za kutembelea Hifadhi mpya ya Taifa ya Saanane.  Wananchi wote mnaombwa kujitokeza na kushiriki katika maadhimisho hayo.

 

Utalii uanze kwa Mtanzania mwenyewe.

Imetolewa na:

Mkurugenzi Mwendeshaji

Contact Information

Contacting us by post Tanzania Tourist Board
Utalii House - Laibon street/Ali Hassan Mwinyi Road - Near French Embassy
P.O.Box 2485
Dar-es-Salaam
Tanzania.
Contacting us by email md@tanzaniatourism.go.tz
Contacting us by telephone
General: +255 22 2664878/9
Marketing:+255 22 2664875
Tourism Services:+255 22 2664873
  • Branch Offices
  • Contacting us by fax

    Did you know!

    That "the name Selous game reserve originates from Captain F.C Selous, an English man lived in the area some many years back who was killed by Germans in the First World War and buried in the same area?

    VOTE FOR WORLD TRAVEL AWARD 2016!